TOTAL CHAOS ! Diamond platnumz PROTESTS as willy Paul Takes over Furaha city Festival

source

23 thoughts on “TOTAL CHAOS ! Diamond platnumz PROTESTS as willy Paul Takes over Furaha city Festival”

  1. Sema wa Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ/kemya πŸ‡°πŸ‡ͺ Big up kwenuu πŸ™Œβ€οΈπŸ’― Imani yenu ni kubwa kama mliweza Toa Na kusimamisha Rais wenu Rutho na Hii pia mliweza.
    IMANI YENU NI KUBWA MNOO , WISH TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ pia tuwe hvi na Misimamoo MikaliiπŸ™ŒπŸ™Œβ€οΈπŸ’―

    Reply
  2. NI KWELI ALIZUILIWA SIO NZURI MM NI MTANZANIA TANZANIπŸ‡ΉπŸ‡Ώ NA NI SHABIKI WA POZEE ILA ZE WAY AMEADDRESS KWA PUBLIC TENA MBELE YA STAGE SIO KITU KIZURI KWAKE KAMA MSANII WE NEED HIM HERE IN TANZANIA, MASHABIKI WAKE TUMEUMIA BIG UP KWA POZE SEMA MAMBO MENGINE SIO LAZMA UONGEE WEWE ACHIA WATU MTANDAON WASEME PUNGUZA TEMPER

    Reply

Leave a Comment