What is happening surely in this country! The people who are supposed to be protecting children are killing them, plucking out their eyes and doing other horrific things, but they will not live long. The wicked never live long.
Safi sana,waliofanya hivyo wamefanya kazi nzuri maana hata angepelekwa police angetoka tu kwa wiki moja, jela za Kenya niza waizi wa kuku, lakini waizi wa ma million, wauwaji,wabakaji na walawiti hao ni marafiki wa serikali, wanapelekwa police na wanakiri kabisa makosa alafu wanatoka baada ya wiki serikali inasema uchunguzi unaendelea!! Wakati mwenyewe alietekeleza amekiri lakini bado wanasema wanafanya uchunguzi!!! Alafu kesi inaisha hivyo
ati apelekwe kwa chifu na ameua watoto wawili ata ye alikuwa anawajaribu mbona ye hakupeleka hao watoi kwa chifu… dawa ya moto ni moto
The voice of killing is 2 high
What is happening surely in this country! The people who are supposed to be protecting children are killing them, plucking out their eyes and doing other horrific things, but they will not live long. The wicked never live long.
Walifanya vizuri kuua uyo mwanaume mwenye kuua watoto wa jirani yake achomwe tena hata kama ako maiti
hy ndio Sheria dhabiti ya anae uwa auwawe dis'miss case
Kazi nzuri wananchi hakustahili kushi kbsa alistahili hivyo kifo mshenzi huyo
Justice mara hiyo hiyo karma always returns the favor
Eye for an eye 👁️… 👁️
, lakini kuna nini, tunaenda wapi
Safi sana,waliofanya hivyo wamefanya kazi nzuri maana hata angepelekwa police angetoka tu kwa wiki moja, jela za Kenya niza waizi wa kuku, lakini waizi wa ma million, wauwaji,wabakaji na walawiti hao ni marafiki wa serikali, wanapelekwa police na wanakiri kabisa makosa alafu wanatoka baada ya wiki serikali inasema uchunguzi unaendelea!! Wakati mwenyewe alietekeleza amekiri lakini bado wanasema wanafanya uchunguzi!!! Alafu kesi inaisha hivyo
Karma is real!! Eye for an eye, case solved case closed!!
Well done